Elections 2010 Software ya uchaguzi ya nec imejaa matundu...

Elections 2010 Software ya uchaguzi ya nec imejaa matundu...

Bantugbro

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2009
Posts
4,473
Reaction score
4,252
Yaani inasikitisha jinsi software ya uchaguzi ya NEC ilvyojaa wadudu(bugs)!! angalia jinsi wasimamizi kule Kilombero walivyoshindwa kuitumia na mwishowe kuamua kujumlisha matokeo ya vituo kwa kutumia calculator za kwenye simu zao na mwisho wake kumpora ushindi bi. Regia....
 
yawezekana pia software kuu ya nec nayo ina bugs watu,kutumia calculator kwa kutumia cmu mchina ya makame ni kuruhusu kuongeza kura kwa jk kwa kisngizio kua cmu ke haikua na battery or alisahau miwani home so hakuona figure vzuri....yaani hii ni wizi liveee:nono:
 
Back
Top Bottom