Software za kufrashia simu

Kagoma360

New Member
Joined
Aug 6, 2022
Posts
3
Reaction score
10
Niko na simu hapa nataka kui remove screen lock mbaya zaidi button zake za volume up na down zmeharbika ningeweza kuiformat.

Katika pitapita zangu huko YouTube nikaona wahindi wanatumia MTK CLIENT TOOL na MTK UNIVERSAL TOOL kwa mwenye hizo software wakuu naomba ili niweze kutatua changamoto hii
 
Hii kufrashi?
Ni kwa ajili ya kuwa ni simu za wizi etii?? 🤣 🤣 🤣 🤣
Sirewi kwanini mtu aamue tu kufrashi simu yake.....
 
Hii kufrashi?
Ni kwa ajili ya kuwa ni simu za wizi etii?? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Sirewi kwanini mtu aamue tu kufrashi simu yake.....
Unaelewa maana ya kuflash simu?
 
Sp flash tool, odin na nyingine zinauzwa wadau watakusaidia

Ila itupe tu au weka hizo button kwanza sijajua kama itawezekana kuflash bila hizo button. How to put it into download mode

Cc wadau
 
Simu yako Ni model ipi?
 
Kwanini uflash wakati shida ni kutoa pasword kwanini usitumie dongle kuformat hiyo simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…