Aaahahahahahahaaaa maji yepi tena Kenzy..!!??
Najinyungu tuu ndo zinazoniweka hadi leo....
Busu tuu, sema jingine hilo umepata moja kwa zote...
Mie sio tuu unisimulie, unifanyie matamu matamu nnavopenda sukari mie mweeh!!
Nilipata Yule wanaita mtoto adimu mwenye utamu wenye kuleta wazimu!
Chuchu zake tu ni kama vile vishipa vinavyotaka kuchoropoka maeneo yake!!
Bibi sio Siri binti wa watu alinifanya maji niite mma..๐
Ilikuwa ni kwenye harakati za kujikarantini sasa nami nikaona niicheze karata ktk namna ya kuufariji umaridadi wa muumba..
Nikajing'orea toto wanaita kiuno nyigu,chuchu saa sita macho goroli yenye kurembuka mithiri ya kiumbe kilichokula kungu iliyochanganywa na gongo kwa mbali..๐
Nisiseme mengi ikaonekana chai! Ama natia chumvi kwenye mkolezo wa maziwa!!
Karantini yangu ilienda salama nashukuru muhisani wangu alikuwa na utamu wote,utafikiri alikuwa ananitunzia toka enzi za kina Eva!!
Mmbebaki nyinyi vigagula wenye mapengo mtambuka spidi za konokono๐
Pole sana Bibi kasie japo kuwa ni mpenzi wangu uliukula chumvi lkn wacha tu nikuchane๐
Sasa hayo mapengo yenu si hata kuitana majina mnakoseana!!
Maana hicho kibabu badala kikuite kasie kinakuita Kathie๐๐
Ila Ina sound good sema kizee sanaa!..
Bibi uniache ukitaka kunichana njoo piemu huku utaniharibia mi bado kijana nahitaji mwenza usije haribu mambo..๐๐
Ila nisikufiche kale kabinti katamu na kanajua kucheza rhumba,salsa mpaka sebene!.. nami sikua nyuma mikito ya raga na hip hop sikuiacha.. ilibidi tuite fundi kitanda arekebishe kila siku maana ilikuwa ni third world war..๐
Karantini ilikuwa Moto ule wa kuotea mbali..๐