Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Sogea mbele hata kama unahisi kuchoka ila hakikisha hata unachechemea, unatambaa au unafanya kila liwezekalo katika kujikomboa tu
Kukosea, mapito au kupoteza ni kawaida katika maisha ila usivunjike moyo na ukaamua kuishilia hapa duniani fanya mabadiliko sasa
Usiache kuamini mazuri yajayo hata kama kuna magumu kwa sasa unayapitia. Giza litakaa milele nuru itaangaza nalo litaondoka.
Fanya mabadaliko panapohitajika mabadaliko, jiboreshe panapohitaji kujiboresha, achilia panapohitaji kuachilia na hakikisha unasogea mbele kwenye hatma njema uitamaniyo kuiishi