Magical power JF-Expert Member Joined Sep 27, 2022 Posts 2,158 Reaction score 5,626 Dec 20, 2024 #1 Sogea mbele hata kama unahisi kuchoka ila hakikisha hata unachechemea, unatambaa au unafanya kila liwezekalo katika kujikomboa tu Kukosea, mapito au kupoteza ni kawaida katika maisha ila usivunjike moyo na ukaamua kuishilia hapa duniani fanya mabadiliko sasa Usiache kuamini mazuri yajayo hata kama kuna magumu kwa sasa unayapitia. Giza litakaa milele nuru itaangaza nalo litaondoka. Fanya mabadaliko panapohitajika mabadaliko, jiboreshe panapohitaji kujiboresha, achilia panapohitaji kuachilia na hakikisha unasogea mbele kwenye hatma njema uitamaniyo kuiishi
Sogea mbele hata kama unahisi kuchoka ila hakikisha hata unachechemea, unatambaa au unafanya kila liwezekalo katika kujikomboa tu Kukosea, mapito au kupoteza ni kawaida katika maisha ila usivunjike moyo na ukaamua kuishilia hapa duniani fanya mabadiliko sasa Usiache kuamini mazuri yajayo hata kama kuna magumu kwa sasa unayapitia. Giza litakaa milele nuru itaangaza nalo litaondoka. Fanya mabadaliko panapohitajika mabadaliko, jiboreshe panapohitaji kujiboresha, achilia panapohitaji kuachilia na hakikisha unasogea mbele kwenye hatma njema uitamaniyo kuiishi
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Dec 20, 2024 #2 🤣🤣 ujumbe mzuri sana maana jana niliingia kijinga sana kwenye hii pair USDJPY, niliona sura halisi ya shetani..
🤣🤣 ujumbe mzuri sana maana jana niliingia kijinga sana kwenye hii pair USDJPY, niliona sura halisi ya shetani..
Magical power JF-Expert Member Joined Sep 27, 2022 Posts 2,158 Reaction score 5,626 Dec 20, 2024 Thread starter #3 KENZY said: 🤣🤣 ujumbe mzuri sana maana jana niliingia kijinga sana kwenye hii pair USDJPY, niliona sura halisi ya shetani.. Click to expand... Una mana gan mkuu😂😂😂 umenusurika kwenye nn 🤣🤣🤣
KENZY said: 🤣🤣 ujumbe mzuri sana maana jana niliingia kijinga sana kwenye hii pair USDJPY, niliona sura halisi ya shetani.. Click to expand... Una mana gan mkuu😂😂😂 umenusurika kwenye nn 🤣🤣🤣
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 2,278 Reaction score 3,960 Dec 20, 2024 #4 Ujumbe mkali.
Magical power JF-Expert Member Joined Sep 27, 2022 Posts 2,158 Reaction score 5,626 Dec 20, 2024 Thread starter #5 Masagala said: Ujumbe mkali. Click to expand... Pamoja mkuu