ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 150
- 173
SOGGY DOGGY & SHAA - MAFUNDI.
" Usilolijua ni sawa na Usiku wa Ngiza/ kama Basi unabisha yapaswa kusikiliza/ Maneno haya kutoka kwa tyr ngaiza yanahusu hao mafundi wenye Michezo ya kuingiza/ ..
"Wimbo huu kwa mafundi longolongo / nitakachosema ni ukweli wala sio Uongo/ mtaani kwetu kuna fundi cheleani/ ni mshonaji mzuri hata utake nguo za ndani/ sina Tatizo kwa nguo zake anavyoshona/ ila inaniuma Demu wangu akimpina/ mara kifua mara hips mara ampime kiuno na mwisho offer za chips/ fundi juma sifa kubwa ni mkwale/ atamktaka mkeo na nguo amshonee Bure/ wakimkataa na nguo zinachelewa/ njoo kesho njoo kesho kwake yenye ndio kama kawa/sio tofauti na keni fundi viatu / wote wawili akili zao naziona fyatu / kwanza bei kubwa hata Mungu hapendi/ mtaani anaongopeka alishawahi kucheza ndondi / viatu vyako anaweza kuweka bondi/ ili apate pesa ya ku spend weekend/ ajasomea na bado anajiita vitu sehemu ya kuweka usi anaweza kuweka gundi/....
#MADA:"Mafundi ". tunawaangalia mafundi wote kwa ujumla, uwezo wao katika kazi zao, uaminifu wao na changamoto za kazi zao kwa ujumla.
Bila kusahau usumbufu wao ..
Karibu kwa maoni na ushauri...
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202