Soka la Tanzania linakwamishwa na kuingiliana katia majukumu

Mbabani

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,676
Reaction score
4,693
Wakuu kwema?

Mimi ni mmoja wa Watanzania ninao penda mchezo wa mpira wa miguu tangu nikiwa na umri mdogo hadi sasa.

Leo ninatoa maoni yangu juu ya maendeleo ya mchezo wa mpira wa miguu hapa nchini.

Moja ya tatizo ambalo linakwamisha sana maendeleo ya huu mchezo hapa nchini kwetu ni: KUINGILIANA KATIKA MAJUKUMU.

Tatizo hili ni sugu kuanzia ngazi ya vilabu, Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) & Wizara ya Michezo.

Asanteni.
 
sio soka tu hata kwenye uongozi wa siasa ilo lipo na maeneo mengine mengi tu.
 
Kumbe sio Tanzania tu ni nchi nyingi Afrika.

Mfano Cameroon, rais wa shirikisho la soka anapanga timu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…