Soka la Wanawake linaweza kutubeba, hongera U17

Soka la Wanawake linaweza kutubeba, hongera U17

Vijana wa kike wa Tanzania chini ya miaka 17 wakishangilia ubingwa wa kombe la COSAFA walilobeba Leo baada ya kuifunga Zambia kwa penati 4-3.
IMG_20201114_151859.jpg
 
Tff wange invest kwenye hizi team za wanawake hizo ndo zitakazo tutoa kwenye soccer, Kwanza hamna usimba na uyanga humo. Team ya wanaume ni kichwa cha mwendawazimu tu
 
Tff wange invest kwenye hizi team za wanawake hizo ndo zitakazo tutoa kwenye soccer, Kwanza hamna usimba na uyanga humo. Team ya wanaume ni kichwa cha mwendawazimu tu
Huko kuna Watabe wanaitwa JKT Queens my favorite wanakupiga saba...nane hata kumi inategemea na ulivyojichanganya.
Japo chama letu la msimbazi lime takeover last season ngoja tuone muendelezo...nyumbani kwanza.
 
Back
Top Bottom