Hongera zao! Ila isiwe wamecheat age
Huko kuna Watabe wanaitwa JKT Queens my favorite wanakupiga saba...nane hata kumi inategemea na ulivyojichanganya.Tff wange invest kwenye hizi team za wanawake hizo ndo zitakazo tutoa kwenye soccer, Kwanza hamna usimba na uyanga humo. Team ya wanaume ni kichwa cha mwendawazimu tu