Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Diamond Platnumz alipokutana na Cloutas Chama na Kenedy Musonda katika uwanja wa ndege Julius Nyerere International Airport, ilikuwa ni tukio la kufurahisha, hususan kwa mashabiki wa soka na muziki. Wakati Diamond akielekea Zimbabwe kwa ajili ya shoo, wachezaji hao walikuwa wakielekea Zambia kujiunga na timu ya taifa kwa ajili ya mechi za kufuzu AFCON na timu ya Taifa Chad.
Pia, Soma:
• Diamond Platnumz ni Msanii mkubwa duniani, BASATA pamoja TASUBA kuna haja ya kumpongeza kwa jitihada zake za kukuza lugha ya Kiswahili
• Mwijaku kayatimba, Diamond Platnumz amjibu ataka mdahalo kuonesha utajiri iwe funzo