Soka na siasa TFF

Soka na siasa TFF

wanatamani

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
415
Reaction score
145
Wadau leo hii nilikuwa kijiwe kimoja cha wapenzi wa mpira wa miguu (football) mada iliyokuwa ikijadiliwa ni kuhusu ligi kuu tanzania bara. Kulikuwa na ubishi juu ya ubingwa kwa mshindi wa pili wengi walidai azam haiwezi kuwa mshindi wa pili .
Nilivutiwa na kutakakujua sababu inayofanya wawe na uhakika wa jambo hilo .nilichosikia kama kinaukweli basi niseme soka nalo limeingiliwa na siasa pia nasi mwenendo mzuri kwa maendeleo ya soka letu. Sababu walidai

"ni timu ya azam kucheza mechi zake za kimataifa kwenye uwanja wake badala ya ule wa taifa na hiyo kukosesha mapato tff na inazuia mianya ya watu fulani kupiga kama utaratibu ulivyozoeleka" hivyo itawawia vigumu kupata hata ushindi wa pili kivyovyote vile. Watabaniwa mpaka basi
 
Back
Top Bottom