Soka sasa ina mashabiki wengi sana, imeanza ku-overtake Bongo Flava

Soka sasa ina mashabiki wengi sana, imeanza ku-overtake Bongo Flava

Mayunga234

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2017
Posts
1,725
Reaction score
1,995
Mpira umeanza kuwa na mashabiki wengi sana hapa bongo ushaanza kuovertake bongo flavor usishangae baada ya miaka kadhaa bongo flavor ikageuka kuwa bongo movie kwa kukosa mashabiki.

Wasanii angalieni hili kwa jicho la tatu

Now kila mtu anashabikia mpira ata ambaye hajui mpira bongo now kuna funbase kubwa sana ya mashabiki wa mpira jez zimekuwa dili sana.

Bongo flavor imejaa upuuzi mwingi sana kiasi kwamba mashabiki wanaanza kupungua kadri siku zinavyokwenda.
 
Nikisikia mpenzi wangu anasikiliza nyimbo dezaini za akina mboso ( taarab katika ngonofleva) hiyo ndiyo itakuwa ticket yake ya kuondoka.

Wala siwezi kupenda mtu wa hivyo huwa nawaonea kinyaa sana
 
Mpira umeanza kuwa na mashabiki wengi sana hapa bongo ushaanza kuovertake bongo flavor usishangae baada ya miaka kadhaa bongo flavor ikageuka kuwa bongo movie kwa kukosa mashabiki.

Wasanii angalieni hili kwa jicho la tatu

Now kila mtu anashabikia mpira ata ambaye hajui mpira bongo now kuna funbase kubwa sana ya mashabiki wa mpira jez zimekuwa dili sana.

Bongo flavor imejaa upuuzi mwingi sana kiasi kwamba mashabiki wanaanza kupungua kadri siku zinavyokwenda.

achana na bongo flava hakuna mziki wowotw ambao uliowahi kuwa na mashabiki wengi kuliko mpira.. sijui umetumia kipimo gani

ila kwa njia rahis tu utaona hiyo bongo flava mashabiki wake ni wa rika flan kama vile ilivyo taarab au mziki wa dansi tayari hapo ishagawanya mashabiki

pili hata matamasha ya hizo bongo flava sikumbuki kama kuna wasanii waliokuwa wanafanya show uwanja wa taifa na wakajaza uwanja .. ikitokea mara moja kwa mwaka kama mambo ya fiesta.. ama utaona msanji akifanya show uwanja mkubwa basi kuna tukio kubwa tofauti na yeye kaenda kama mtoa burudani..

mfano mkutano wa siasa ama tamasha lolote lile.. lakini sio msanii aandae show yake mwenyewe ajaze uwanja... show zote za wasanii zinafanyika kwenye viwanja au kumbi za kubeba watu 1000 hadi 20,000.. tena mara mbili au tatu kwa mwaka sio kila weekend

huko Ulaya na marekani ambapo wanamziki wanapiga pesa ndefu na wanajaza maviwanja ya mpira kwenye show zao na bado mziki haufikii idad ya wapenz wa mpira..

mpira una uwezo wa kujaza viwanja sio kimoja mechi zikichezwa wakat mmoja na kwenye ma tv na maredio bado watu wana sikiliza na kuangalia niambia mwanamziki yupi ajaze uwanja na watu waangaalie kwenye tv kwa kulipia na kusikiliza redion

unachohisi kuwa soka ina mashabiki wengi sasa ni sababu ya teknolojia tu social media zimeleta wapenda soka karibu lakini sio kwamba hawakuwepo.. ndo maana watu zaman walikuwa wanajazana kwenye vikundi mtaani kupiga soga na kusikiliza mpira..

sasa hivi hivyo vikundi vyote nchini vinakutana whastap, insta na kwingineko ndo maana matawi ya vilabu vya soka yalikuwepo enzi na enzi sasa hv yameanzishwa matawi ya mtandaoni ndo haya ma group.. ushaona matawi ya muziki au watu wanakaa vikindi kujadili mziki.. ukiona watu wanajadili ni soka na siasa basi..

so swala la azam kuonyesha ligi yetu na social media kuwa kama vijiwe vya kujadili soka ndo limefanya ionekane kama soka inaongelewa sana sasa hv kuliko kitu chochote lakini ukweli soka ilikuwa iko juu toka zaman sema hakukuwa na platform za wapenda soka kukutana remotely

haitatokea mziki ukazidi mpira hapa kwetu sababu mziki upo kibinafsi zaid.. maana yake mwanamziki anasimama yeye kama
yeye sio tasisi, hana miongozo wala katiba anaweza akaamu kuwa mlengo flan wa siasa au dini au life style yotote ile na isiwapendeze watu wote

lakini kwenye mpira clubs ni tasisi Ina miongozo na katiba so lolote lile litakakofanyika kuonyesha mlengo flan wa siasa au dini au chochote watu watapiga kelele kwa watu waliofanya hivyo yaan watatenganisha club na hao watu wala hawataacha ku support hiyo club

tofauti na mziki mwanamziki akifanya hayo niliosema hapo juu watu hawatamtenganisha yeye na mziki wake maana mziki ni shughuli binafsi club ya mpira inaendeshwa kiitikadi

mwisho kabisa jua kuwa mara chache mtu anazaliwa anapenda mziki na asipende au asitamani kuwa mwanamziki ila kwenye mpira kuna mtu anazaliwa anapenda mpira ila
hana mpango wa kuwa mcheza mpira hawa ndo kina sie au ndo mnaowaita wapenzi lia lia wa mpira na wako wengi kuliko wanaozaliwa kucheza mpira
 
Miaka yote mpira Una mashabiki wengi kuliko mziki na kuanguka Kwa bongo Flava hakuwezi kuhusiana na mpira. Sijui ulijifikilia kitu gani.
 
Mpira umeanza kuwa na mashabiki wengi sana hapa bongo ushaanza kuovertake bongo flavor usishangae baada ya miaka kadhaa bongo flavor ikageuka kuwa bongo movie kwa kukosa mashabiki.

Wasanii angalieni hili kwa jicho la tatu

Now kila mtu anashabikia mpira ata ambaye hajui mpira bongo now kuna funbase kubwa sana ya mashabiki wa mpira jez zimekuwa dili sana.

Bongo flavor imejaa upuuzi mwingi sana kiasi kwamba mashabiki wanaanza kupungua kadri siku zinavyokwenda.
Hakika umenena vzr mkuu. Mimi nilikua siupendi mpira qa bongo ila siku hizi naupenda saana yaani hata kuangalia mwadui vs maji maji naangalia ila bongo fleva ishaharibikiwa soon inafia ilipo bongo movies. Ushenzi mwingi kwenyw huu mziki hata ukiwa na watu wako wa heshima km babako au mamako huwez kukaa na kuangalia video zao kwa pamoja nao
 
Mshabiki wa Muziki(Bongo fleva) abwwza kuwa mshabiki wa Soka..and viceversa..
Sioni kati ya hayo any time soon ikizorota sababu ya nyingine..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Tokea lini Bongo flavour ikawa na mashabiki kuliko soka...
 
Tokea lini Bongo flavour ikawa na mashabiki kuliko soka...
Hata mimi nashangaa,,ila ninachojua sisi wa Tz tunapenda sana michezo ila viwanja vya michezo mbalimbali hakuna na walimu hakuna,,endapo serikali ingeandaa viwanja na walimu naamini michezo ingepunguza uhaba wa ajira na zile familia duni zingenufaika na hili..
 
Mpira una mashabiki wengi,nawaona kwa mbali wasanii wa bongo muvi na bongo fleva wakijiingiza kwenye ushabiki wa hizi timu kubwa za bongo,hii itawasaidia kutokupoteza umaarufu wao.
 
kwa utafiti niloufanya nchi nyingi ambazo mpira unafanya vzuri zaidi mziki upo chini mfano ni england, spain, italy
 
Back
Top Bottom