Soka si kitu bila kuheshimiana, kupendana na kuthaminiana

Ubumuntu

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
14,345
Reaction score
10,885




Kusema ukweli nimeangalia hizi videos hadi chozi likanilengalenga, haswa ile ya kwanza...na tukio la yule dogo msauzi.

Soka ni mchezo wa furaha, amani, upendo na kuheshimiana...wacheza soka wengi ni matajiri na masuperstaa haswa, lakini jinsi wanavyojishusha na kuwathamini mashabiki wao, ni jambo la kushangaza na kufurahisha sana...

Nasi mashabiki tufanye hivyo baina yetu...nafahamu utani wa hapa na pale unafaa sana. Lakini usizidi mipaka na kuanza kuvunjiana heshima.

CC: Belo RRONDO Malafyale everlenk Mbu BAK Mentor Ntuzu Manumbu Balantanda Wacha1 Wacha Bulldog EMT rubaman DonDonald utafiti Gwamahala MosDef Eli79 Viol Mourinho Janjaweed kalou truegooner kashengo Viper privacy Sizinga Ngongo Mndengereko kitwala Cathode Rays Mr. Wise Shedafa Ed n Edd nEddy juve2012 Ziroseventytwo shifta Nonda ALEYN Shefwaa Root WISE 2012 SaidAlly ndetichia Salamander MUSSOLIN Amavubi Katavi nifah grafani11 mkolaj Freeland Gang Chomba gutierez Asprin Sikonge Mphamvu Revocatus Kashaga El Toro Idimi IFRS
 
Last edited by a moderator:
Thanx sana Nzi

Message ni nzuri sana brother, tupo pamoja na tutaendelea kuwa pamoja.

Hongera sana kwa kuligundua hilo suala muhimu na kulileta hapa kushare nasi kwa pamoja.

#Respect .
 
Last edited by a moderator:
Nzi, hiyo ni kwa manufaa yao wenyewe wachezaji. Ukiwa mkali na jeuri itakugharimu wewe mwenyewe...

Wachezaji wanatengeneza fedha ndefu, kinyume na juhudi zao na kwa majasho ya hao washabiki, kuwaigizia kidogo sio mbaya!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nzi ubarikiwe sana.
Michezo ni burudani, ajira, urafiki na undugu.
Umetukumbusha jambo muhim sana.
Heshima kwako na kwa wapenda michezo(soka) wote.
 
Last edited by a moderator:
Thanks Mkuu Nzi, and thats all about soccer!!No Enmity, No War but it is an entertainment with a FAIR PLAY and RESPECT.


And Let us keep on reminding our brothers n sisters all over the world. "SAY NO TO RACISM"
 
Kwa kweli nimelengwa sana na machozi kwa kuangalia hizi video, inajenga sana undugu na huruma!
 
Nimehuzunika mkuu... Nzi asante kwa ujumbe huu maridhawa. Respect!
 
Last edited by a moderator:
Kweli Nzi!

Nakubaliana nawe mia kwa mia, umezungumza mambo ya msingi sana BRAVO!.

Unajua wakati mwingine nasomo post humu nashangaa mpaka najiuliza ni umri, ushamba au nini!

Kwa kuwa huonekani si sababu ya kukosa adabu, heshima na kuheshimiana ndio ubinadamu!
 
Reactions: Nzi
saluti sana, nadhani transaltion ianzie humu, tubishane kwa hoja na si kwa matusi na isitokee watu kukimbia, mm ni miongoni mwao watoa pongezi kwa wapinzani wetu wshindapo.............
 
Reactions: Nzi
Ujumbe huu uwafikie wale wote wanaopenda kutoa lugha za kejeli na matusi mazito ya nguoni (sitaki kuwataja maana tayari umeshamention hapo juu).Ni vyema wakumbuke kua huu ni mchezo tu, usitutie wazimu hadi tushushiane heshima au kujengeana uadui.
 
Reactions: Nzi
mtu yoyote wa mpira hawezi kumtukana mwenzie hata mara moja kuhusiana na mambo ya mpira. sio sehemu ya kanuni na ustaarabu wa mpira. utaumia, utataniwa nk kwa timu yako kufungwa au kupoteza hicho ni kitu cha kawaida, lakini sio kutukanwa au kupigwa nk. asante Nzi kwa kutukumbusha desturi zenu kama watu wa mpira. sometimes tunahitaji kukumbushana haya mambo ili hata wale wanaoingia kwenye mpira, wasilete ustaarabu usiohusika
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…