Soka si kitu bila kuheshimiana, kupendana na kuthaminiana

Thanks Mkuu Nzi, and thats all about soccer!!No Enmity, No War but it is an entertainment with a FAIR PLAY and RESPECT.


And Let us keep on reminding our brothers n sisters all over the world. "SAY NO TO RACISM"
Madrid ana kazi kubwa jamani
 
Mkuu Nzi asante sn kwa kuleta ujumbe mzur, kuna baadhi wamesema maoni yao hapo nyuma.....safi sn, na lkn nilipenda niseme kitu kimoja, tunatakiwa tuchukua huu ujumbe ktk vitendo......hasa ktk uwanja wetu huu wa michezo hapa JF.....tuhakikishe tunabeba ile dhana halisi ya michezo na si kutoleana lugha chafu au kugombana.....mwisho wa siku tutajikuta tuemkua jamii bora kabisa na kua marafiki na kuwavutia wengi kupenda michezo lkn km tusipobadilika na kushambuliana kwa lugha mbovu etc basi ata jukwaa letu la michezo litapoteza mvuto ktk jamii....tukumbuke kua ktk huu uwanja wetu kuna watu wengi wanapita tu na kusoma habari bila kuchangia chochote. Lkn km tutakua hatuna dhana halisi ya michezo basi tutapoteza wadau wengi sn.

Aksante.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Nzi
This is the best thread so far. Nimejifunza hado chozi limenitoka
 
Reactions: Nzi
Asante Nzi kwa ujumbe maridhawa,sijui nilikuwa wapi hata huu wito ukanipita, michezo ni undugu, urafiki, amani na furaha wakati wote .

Kuna mtu alirusha picha si nzuri kule LFC hope atakuwa ameitoa, tupeane vijembe humu lakini tusivunjiane heshima.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…