mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Baada ya filimbi ya mwisho ya mchezo wa Leo dhidi ya namungo fc, Nimepokea simu toka kwa jamaa zangu mbalimbali waliopo hapo bongo land, kuhusu hali ya wasiwasi iliyozuka kufuatia ushindi mnono uliozidi kuipaisha timu Yanga afrika katika kilele cha msimamo wa ligi ya NBC.
Taharuki hii imeletwa na baadhi ya mashabiki wa Mbumbumbu efusii waliokua wameelekeza dua zao za husda na ulozi katika mchezo huu wakituombea mabaya hasa kufuatia timu lao la kauka nikuvae kupigwa mbupu mbili na koplo mbangura. Katika baadhi ya simu, nimeelezwa kwamba baadhi ya mashabiki wa Mbumbumbu fc walioko mbagala wanataka wajivike upanya road ili waanze kuwafanyia vitendo vya kihuni mashabiki wa yanga afrika katika maeneo hayo.
Wakati hayo yakiendele nimeelezwa kuwa maeneo ya Buza, kuna mama mwenye nyumba, shabiki wa makolo, Leo ameamua kumtunuku kipochi manyoya mpangaji wake ambae pia ni mdaiwa sugu wa kodi, hii yote ikisemekana ni kutokana na utamu wa soka la yanga uliompandisha genye, kiasi cha kushindwa kujizuia na kuamua kugawa utamu hadharani kama bajia za dengu.
Soka la yanga sc ni sawa na hadithi ya muwa uliozamisha meli, ukitaka ufe kwa kisukari cha kujitakia basi tazama mechi za Yanga sc, binafsi Leo nimeamua kumfukuza rasmi mpenzi wangu ili nijikite zaidi katika masuala ya kuishangilia yanga na kumtetea pacome.