johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mtajengewa jipya.Mkoa wa Arusha ni kama hauna soko kabisa maana vile ni vijiwe vya wafanyabiashara hatuwezi sema ni soko
Picha haitakusaidia kwa sababu Moshi siyo Jiji.Weka picha hapa tuone vinginevyo ni umbea tupu
Moshi na Arusha wengi wanapenda biashara za magendo na wizi ndio maana hawapendi kukaa masoko rasmi.Wanaogopa kukamatwa na Afande Kingai wakikaa masoko rasmiMkoa wa Arusha ni kama hauna soko kabisa maana vile ni vijiwe vya wafanyabiashara hatuwezi sema ni soko
We endelea kuhoji wenzako wanachukua hatua, ukiona gape na watu wanalitumia na wanafanikiwa litumie.Hivi hawa Machinga Products zao wanatoa wapi?
Isijekuwa tunaongeza middle men wa low products kutoka China, Kukuza uchumi wa kweli sio kuongeza wachuuzi / middle men pekee bali pia production
Wasisahau kuongeza magulio na kuwasaidia wakulima kupata masoko, Sina uhakika sana kama tatizo ni masoko bali supply ya machinga ni kubwa kuliko demand
Wenzako wanachukua hatua?We endelea kuhoji wenzako wanachukua hatua, ukiona gape na watu wanalitumia na wanafanikiwa litumie.
Moshi siyo jiji.Mpuuzi wewe, Moshi ndiyo mji wa kwanza EAC kuwa na stand ya kisasa 1970 kabla ya hiyo Dodoma yako
kabisa hawajifunzi kwa machinga complex la DarSoko likiisha halafu utakuta halina wamachinga hapo ndio naonaga watanzania wanakurupuka.
Moshi na Dodoma wapi pakubwa? Moshi inastahili kuwa jiji kuliko hata Dom lakini sababu za kisiasa ndiyo hivyo tenaMoshi siyo jiji.
Ni manispaa kama Sumbawanga!
😁😁🤣Soko likiisha halafu utakuta halina wamachinga hapo ndio naonaga watanzania wanakurupuka.
Moshi pana ukubwa na uzuri gani kuizidi Dodoma?!Moshi na Dodoma wapi pakubwa? Moshi inastahili kuwa jiji kuliko hata Dom lakini sababu za kisiasa ndiyo hivyo tena