nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Hahahaha, haya bhana twende tu tutajua huko mbeleHuenda wanataka kuzungushia uzio ili waweke tozo ya kuingia sokoni..
Nchi hii kila kitu ni Tozo na faini siku hizi..
Hukuona mwenzio alilalamika choo cha Stendi kutoza Tsh. 500 akaambiwa kinyesi chake awe anakiacha nyumbani kwake?
Hiyo ya kuzuia Raia ipo katika huo mpango... Ama ni fikra na mawazo yako tu...Saalam?
Zipo tetesi kuwa manispaa ya morogo inataka kujenga uzio(ukuta) kufanya ivo no kuwanyima wananchi fulsa ya kuongeza kuipato Chao kwa kuitumia soko hilo.
Kama ni kweli viongozi wa manispaa hiyo wanatakiwa wafikiria Mara mbili mbili.
Wananchi walikuwepo kabla ya soko jipya hakuna sababu ya kujenga uzio waacheni wananchi wafaidi matunda ya kazi yao
Asante,,,,,,