Sanjara Honey
Member
- Jul 1, 2009
- 71
- 32
unatoa sh ngapi kama wekezo la kumhakikishia muuzaji atakaye kusanya haraka kama anafahamu zinapouzwa. toa ofa ya bei kwa kilo ya dengu husika, na tafadhari pia sema ununuzi huo utadumu kwa muda gani isije ikawa wazihitaji leo halafu kesho ukasema tayari zimetimia. pia sema ni njia ipi ya mawasiliano kuwaupdate watakaokuletea kujua kiasi ambacho bado unahitaji wasije wakaaleta kiasi cha tani 120 kumbe tayari muda huuu umeshapata tani 50
Wewe uko wapi mimi niko shinyanga sasa hivi, nina mtu ni mfanyabiahasahara ya dengu hadi tani 200, sijui kama uko serious nikutumie nikuunganishe nae,sasa hivi