Soko la ajira Industrial Engeneering likoje ?

WAOGA watoto wa skuiz bna.......mchelemchele civil hawaji huku ajira kibaooooo,haya soma industry huku tz tuna import hadi toothpick
 
sikuhizi kupata ajira ukitoa education(science) and medicine hao wengine ni kama bahati2 hakuna ule uhakika kwamba ukigraduate hapohapo unapata kaz hiyo haipo labda uwe umetengeneza connection vizur
 
sikuhizi kupata ajira ukitoa education(science) and medicine hao wengine ni kama bahati2 hakuna ule uhakika kwamba ukigraduate hapohapo unapata kaz hiyo haipo labda uwe umetengeneza connection vizur

Kumbe fikra mgando mpo wengi eeh hii ni 2014
 
Soma unachokiweza otherwise utaaribu kazi za watu. Tz kazi inategemea si lazima ulichochosomea ndo utafanyia kazi. Tunamadokta na maprofesseri wengi tu ila ni wanasiasa.
Acha mambo ya kizamani eti ukisoma Geography na Math utakua rubani...mf mm nimesoma science lkn niulize nafanya kazi inahusu nn...utapasua mbavu kwa kucheka!! Lkn naingiza siku, mm sio kama wale wanaotafuta ajira mwaka wa 3 sasa.
Soma kwa moyo then ajira baadae
 
Kwa Hiyo Nikusema Kwamba Mechanical Haina Dili
Mkuu swali zuri hili
Naomba mniambie kuhusu fakat ya industrial engineering ikoje na upande wa ajira pia vipi
Ndugu hii ni course mpya na inapatikana UDSM peke yake Tz,naona watu wengi hawaijui ndio mana wanaibeza.Ila kiukweli ina ajira na pia inalipa vizuri tu.Tanzania kuna viwanda vingi ambavyo vinaendeshwa na mechanical engineers ambao kazi zao kubwa niku-run machines lakin kwa uchache wa industrial&management engineers utakuta hao mechanical engineers wemetulia ofisini wanafanya kazi ambazo mostly zinawahusu industrial engineers,na manager wa viwanda kwa Kawaida huwa wanakuwa industrial engineers kwa sababu kozi yao inahusika na industrial management(jinsi ya kumanage kiwanda),mkuu kasome ni kozi nzuri sana na mshahara wake ukiachana na kwa wahindi huwa unaanzia 1.2m
 

raisi tu kuongea embu ingia kitaani kidogo
 
mbn kaka ni kozi nzuri tu,nimemuuliz jamaa anasom hii kozi mlimani

kila kozi ni nzuri kama utafaulu vizuri hakika hutamaliza viatu kutafta kazi
kwa hyo hata hii ni nzuri kwa style hiyo ila chondechonde ufaulu wa kawaida utakumaliZia sana pea za viatu....ndio maana ushauri mzuri soma vitu ambvyo kujiajiri ni rahsi mfno civil engnrng(though not takin) but i recommend you kam unapnda faculty ya engineering
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…