soko la ajira kwa medical laboratory technology likoje?

soko la ajira kwa medical laboratory technology likoje?

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,285
Kuna mdogo wangu kapangwa bachelor of science in medical laboratory technology!
Sasa ningependa kujua soko lake kiajira likoje?
Na pia hii kozi ina connection yeyote na mambo ya udaktari?
 
Kuna mdogo wangu kapangwa bachelor of science in medical laboratory technology!
Sasa ningependa kujua soko lake kiajira likoje?
Na pia hii kozi ina connection yeyote na mambo ya udaktari?

ni kozi nzuri sana ajira yake ipo ya kutosha sana, kazi yake ni kufanya vipimo mbali mbali vilivyoandikwa na daktari.
mfano daktari x akihisi mgonjwa ana typhoid/malaria/homa ya ini/ugonjwa wa zinaa etc atakayefanya kipimo na ili kuthibitisha tatizo husika ni mtaalamu wa maabara(laboratory technologist)
 
Back
Top Bottom