Soko la ajira lipoje Telecom eng vs IT

brizy

Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
50
Reaction score
2
Niaje wakuu, nipo kwenye dilemaa nisome tele UDOM au I.T UD but I kinda like tele kidizain, sijui ipi mziki mnee na ipo markateable,naombeni ushaur wenu wakuu.........:confused2:
 
niaje wakuu,nipo kwenye dilemaa nisome tele udom au i.t ud but I kinda like tele kidizain, sijui ipi mziki mnee na ipo markateable,naombeni ushaur wenu wakuu.........:confused2:

Kati ya hizo mbili ningekushauri uende tele!! Lakin ujue soko la ajira always liko dynamic...leo i.t ina soko kesho haina....usiangalie soko saaana...angalia nini wapenda!!
 
nenda mechanical engineer mama haishuki soko asilani

Watu kwa kujifanya mnalijua hilo linaloitwa soko la ajira....mtu kauliza kati ya IT na TELECOM we unamtajia Mechanical
Kila mtu yuko na interest zake for my opinion soma TELECOM then uta base kwenye IT applications
 
Niaje wakuu, nipo kwenye dilemaa nisome tele UDOM au I.T UD but I kinda like tele kidizain, sijui ipi mziki mnee na ipo markateable,naombeni ushaur wenu wakuu.........:confused2:

Mbona kama unafaa zaidi kwenda chuo cha sanaa Bagamoyo?hizo zingine unapoteza kipaji tu na utaishia kujuta tu.
 
Watu kwa kujifanya mnalijua hilo linaloitwa soko la ajira....mtu kauliza kati ya IT na TELECOM we unamtajia Mechanical
Kila mtu yuko na interest zake for my opinion soma TELECOM then uta base kwenye IT applications

umesahau kaulizia soko la ajiraaaa.ok ni poa pote ila nimemshauri vile kutokana na hivi sasa vijana wanashindwa waende wakosome nn kutokana na uhaba wa kazi.kipindi fulani tele ilikua juu and ili nishawishi binafsi kuhama comb toka cbg to pcm.bt wakati namaliza nikakuta haina dili tena hivyo nikawafata wakubwa walonitangulia maono ya kishule na kunileta Kwenye mstari.na kumbuka kwa tz usije soma bora liende utajuta maisha yako yote.hivyo uamuzi ni wako tu sisi tutabaki washauri tu
 
Soko la ajira lipoje nw mkuu @ fasiliteta
 
Mzee we Chuo cha CCM Kivukoni. Siuliona CCM ililivyojaza vilaza BMK na Bunge la ESCROW
 
Niaje wakuu, nipo kwenye dilemaa nisome tele UDOM au I.T UD but I kinda like tele kidizain, sijui ipi mziki mnee na ipo markateable,naombeni ushaur wenu wakuu.........:confused2:

Mkuu chuo kikuu silelemama. Inabidi ubadilike kwenye kiuandishi. Vinginevyo utapata shida.
 
Soma telecom, but kumbuka usiache ghafla ulichopanga maishan ghafla na kufwata ulichotamani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…