Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mjasiriamali toka tunduru natamani kufaham je asali ina soko kiasi gani then ni vigezo vp vinapaswa kufuatwa ili kufanya biashara ya asali kisheria.. naamin wadau mtanisaidia ktk hili, natangulza shukran zangu kwenu.
Mambo vipi mkuu? Vipi ushafanikiwa kupata infos za soko/biashara ya asali? Tupeane update mkuu!Nashukuru kwa ushauri wako aisee, nitaufanyia kazi kama nikiw na uzma mwakani ntafanya hatua hzo