Mimi ni mjasiriamali toka tunduru natamani kufaham je asali ina soko kiasi gani then ni vigezo vp vinapaswa kufuatwa ili kufanya biashara ya asali kisheria.. naamin wadau mtanisaidia ktk hili, natangulza shukran zangu kwenu.

Kwa biashara za vyakula inabidi uwaone akina TFDA na binamu yake TBS wako pale Ubungo,pia inabidi uwe na nembo yako ya biashara, kwa habari ya masoko,anza na hawa jamaa 0784295208. Hawa wanasindika asali. Kuwa mvumilivu ili kupata soko la asali,sijui kama Honey King pale Kibaha kama wanachukua toka kwa watu binafsi.