Soko la asali Tanzania

Soko la asali Tanzania

makindaOG

Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
11
Reaction score
14
Naomba kujua kwa yeyote anaejua soko la asali mbichi (pure) Tanzania?
 
Sehemu yingi sana... Karibu maeno yote yenye matawi ya TFS... nakufahamu asali kama ni pure kwa kiwango gani huwa wanapima sample za asali maabara... UDSM (COAF) wana watalaam na maabara kwa mambo ya asali na mengine.

Sent from my itel A32F using JamiiForums mobile app
 
Solo la asali mbichi Tanzania?
Kwa kifupi Tanzania haina masoko maalum yanayouza asali kama dhahabu, hivyo ukiwa unahitaji kununua asali kama ni mnunuzi wa jumla unapaswa kutembelea maeneo ya wafugaji na kuzungumza nao.
Lakini kama ni mnunuaji wa rejereja unayeihitaji Kwa matumizi ya kawaida, asali unaweza kununua sokoni, au super market ambako wauzaji/wafugaji hupeleka.
Binafsi nilivuna asali kiasi katika mizinga yangu mwezi Agost mwaka huu na hivi tunavyoongea sina asali sababu ilinunuliwa yote na kuisha.

Msimu mzuri kupata asali ni Desemba na January na Juni hadi Agosti kula mwaka.

Kwa biashara zaidi tuwasiliane +255622642620 maana Mimi ni mfugaji.

Soma Makala ya Uvunaji Sumu ya Nyuki kibiashara kwa link hii hapa:
Uvunaji wa Sumu ya Nyuki
 
Back
Top Bottom