Soko la asali

Soko la asali

Radash

Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
41
Reaction score
16
Wadau naombeni msaada kwa mwenye kujua soko la asali mbichi au wapi wananunua kwa hapa Dar anisaidie kwani nina kama lita 300 toka Tabora.,nachoitaji kwa sasa ni wapi naweza kuiuza kwa jumla.
Ahsanteni
 
Back
Top Bottom