Radash Member Joined Dec 12, 2012 Posts 41 Reaction score 16 Dec 12, 2012 #1 Wadau naombeni msaada kwa mwenye kujua soko la asali mbichi au wapi wananunua kwa hapa Dar anisaidie kwani nina kama lita 300 toka Tabora.,nachoitaji kwa sasa ni wapi naweza kuiuza kwa jumla. Ahsanteni
Wadau naombeni msaada kwa mwenye kujua soko la asali mbichi au wapi wananunua kwa hapa Dar anisaidie kwani nina kama lita 300 toka Tabora.,nachoitaji kwa sasa ni wapi naweza kuiuza kwa jumla. Ahsanteni