Soko la asali

Soko la asali

FBY 2013

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
401
Reaction score
90
Wakuu,

Kwa yeyote Mwenye kuhitaji kununua Asali kutoka kwa wakulima ipo ya kutosha.
Inatoka sehemu za Singida na Njombe.
Ni asali ya Nyuki wakubwa,ila ukihitaji ya Nyuki wadogo pia inaweza kupatikana.
Asali ipo katika kiwango cha juu na haijachemshwa,ukihitaji sample kabla ya kununua inawezekana.
Tuwasiliane ili tufanye Biashara.

Tuwasiliane kupitia >>>> businessnow271@gmail.com
Au Unaweza kuni PM.
 
Weka mawasiliano tafadhali na ni nyuki wakubwa au wadogo ?haijachemshwa ?
 
Mkubwa hebu weka maelezo ya kutisheleza...unapatikana wapi..bei. ujazo nk
 
Mkubwa hebu weka maelezo ya kutisheleza...unapatikana wapi..bei. ujazo nk

Nimesema asali ipo Njombe na Singida kwa sasa,kuhusu Jinsi gani itakufikia ni maelewano tu,ni asali ya moja kwa moja toka shambani haijachemshwa hivyo ipo kwenye dumu za lita 20. tuwasiliane zaidi kupitia businessnow271@gmail.com au ni PM Number yako ya simu tuwasiliane zaidi.
 
Wakuu,

Kwa yeyote Mwenye kuhitaji kununua Asali kutoka kwa wakulima ipo ya kutosha.
Inatoka sehemu za Singida na Njombe.
Ni asali ya Nyuki wakubwa,ila ukihitaji ya Nyuki wadogo pia inaweza kupatikana.
Asali ipo katika kiwango cha juu na haijachemshwa,ukihitaji sample kabla ya kununua inawezekana.
Tuwasiliane ili tufanye Biashara.

Tuwasiliane kupitia >>>> businessnow271@gmail.com
Au Unaweza kuni PM.
yaani kuuziana asali tuende PM ,JAMANI WEKA NUMBER HAPA BANA ACHA UKIRITIMBA! KUMBUKA TUNA MABO MENGI YA KUFANYA UKIWEKA SIMU NAKUPIGIA MUDA HUOHUO!
 
Back
Top Bottom