Weka mawasiliano tafadhali na ni nyuki wakubwa au wadogo ?haijachemshwa ?
Mkubwa hebu weka maelezo ya kutisheleza...unapatikana wapi..bei. ujazo nk
yaani kuuziana asali tuende PM ,JAMANI WEKA NUMBER HAPA BANA ACHA UKIRITIMBA! KUMBUKA TUNA MABO MENGI YA KUFANYA UKIWEKA SIMU NAKUPIGIA MUDA HUOHUO!Wakuu,
Kwa yeyote Mwenye kuhitaji kununua Asali kutoka kwa wakulima ipo ya kutosha.
Inatoka sehemu za Singida na Njombe.
Ni asali ya Nyuki wakubwa,ila ukihitaji ya Nyuki wadogo pia inaweza kupatikana.
Asali ipo katika kiwango cha juu na haijachemshwa,ukihitaji sample kabla ya kununua inawezekana.
Tuwasiliane ili tufanye Biashara.
Tuwasiliane kupitia >>>> businessnow271@gmail.com
Au Unaweza kuni PM.