Soko la bata bukini

Soko la bata bukini

Tzania

Member
Joined
Jul 23, 2019
Posts
31
Reaction score
12
Ndungu Wana jamii forum nahitataji kujua kwa mwenye kufahamu mm ni mfugaji na nahitaji kufahamu soko la bata bukini nasikia wachina wananunua au kwa mwenye connection ya mahitel Anipatie nami nitampatia some pacent kama kifutajasho kwa Kila bata kuku au kanga au aina yoyo ya mifugo Ani dm
 
Back
Top Bottom