deezekiels
Member
- Mar 20, 2014
- 42
- 3
Naanza kwa salutation kwa wote, ninaanzisha biashara ya dagaa wakavu wakubwa wasafi, ninaanza na gunia 10.
Nipo Musoma mjini naomba mnijuze masoko ya bidhaa hii na kwa alie tayari kunitaarifu masoko na kushiriki nami aniPM.