deezekiels Member Joined Mar 20, 2014 Posts 42 Reaction score 3 Jun 14, 2014 #1 Naanza kwa salutation kwa wote, ninaanzisha biashara ya dagaa wakavu wakubwa wasafi, ninaanza na gunia 10. Nipo Musoma mjini naomba mnijuze masoko ya bidhaa hii na kwa alie tayari kunitaarifu masoko na kushiriki nami aniPM.
Naanza kwa salutation kwa wote, ninaanzisha biashara ya dagaa wakavu wakubwa wasafi, ninaanza na gunia 10. Nipo Musoma mjini naomba mnijuze masoko ya bidhaa hii na kwa alie tayari kunitaarifu masoko na kushiriki nami aniPM.
S sawa JF-Expert Member Joined Nov 22, 2010 Posts 2,752 Reaction score 929 Jun 14, 2014 #2 Hongera kaka nasikia tunduma zinatoka sana maana kule wananunua watu wanapeleka Kongo jamhuri ya kidemokrasia.
Hongera kaka nasikia tunduma zinatoka sana maana kule wananunua watu wanapeleka Kongo jamhuri ya kidemokrasia.
deezekiels Member Joined Mar 20, 2014 Posts 42 Reaction score 3 Jun 14, 2014 Thread starter #3 Asante, waweza kuwa na mjasiliamali hiko tunduma anaehitaji bidhaa hii? Uniunganishe!
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,120 Jun 16, 2014 #4 [h=3]Biashara ya kusafirisha Dagaa kutoka Mwanza kuja Dar - Jamii Forums[/h]www.jamiiforums.com/.../286770-biashara-ya-kusafiri... Translate this page Jul 3, 2012 - 5 posts - ‎3 authors Usipokuwa mwangalifu, kuna uwezekano mkubwa sana wa pesa zako (mtaji) kuuachaMwanza! Madalali wa kuuza dagaa Mwanza sio ...Wakuu nauliza bei ya dagaa wa Kigoma ukiwa mkoani ... 5 posts 23 Apr 2014 Habari Jf. Nataka nijaribu Biashara Ya Dagaa wa Mwanza ... 5 posts 25 Jan 2014 Dagaa wa mwanza kwa chakula cha kuku 5 posts 9 Oct 2013 Biashara ya dagaa kutoka Mwanza-Dar 6 posts 30 Mar 2012 More results from www.jamiiforums.com
[h=3]Biashara ya kusafirisha Dagaa kutoka Mwanza kuja Dar - Jamii Forums[/h]www.jamiiforums.com/.../286770-biashara-ya-kusafiri... Translate this page Jul 3, 2012 - 5 posts - ‎3 authors Usipokuwa mwangalifu, kuna uwezekano mkubwa sana wa pesa zako (mtaji) kuuachaMwanza! Madalali wa kuuza dagaa Mwanza sio ...Wakuu nauliza bei ya dagaa wa Kigoma ukiwa mkoani ... 5 posts 23 Apr 2014 Habari Jf. Nataka nijaribu Biashara Ya Dagaa wa Mwanza ... 5 posts 25 Jan 2014 Dagaa wa mwanza kwa chakula cha kuku 5 posts 9 Oct 2013 Biashara ya dagaa kutoka Mwanza-Dar 6 posts 30 Mar 2012 More results from www.jamiiforums.com