Soko la dengu

Soko la dengu

fikirijohnas

Member
Joined
Nov 10, 2018
Posts
46
Reaction score
29
Habari za muda huu!

Niko kwenye eneo linalozalisha zao la dengu na miezi ya mavuno imekaribia. Nimevutiwa na kufanya biashara ya kununua dengu kutoka kwa wakulima moja kwa moja.

Ninaomba kwa mwenye uzoefu wa biashara ya mazao hasa dengu, na hasa kuhusu soko na changamoto zake kwa kanda ya ziwa anisaidie.

Ahsanteni.
 
Mkuu vipi stakabadhi galani au siku wanaruhusu kununua kwa mkulima moja kwa moja
 
Back
Top Bottom