Soko la dola nitalipataje?

Soko la dola nitalipataje?

topr

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
700
Reaction score
654
Jaman waungwana nashida navidola vichache ila nataka nijue siku ikipanda ndo nikabadili ili iwe tz sh sasa naombeni msaada kupitia simu or PC nikiwa nyumbani niangalie WAP nijue siku hiyo dola inabadilishwa kwa sh ngap?
 
Wengi wanatumia website ya BOT kama Guidline lakini mara nyingi inakuwaipo chini kuliko Maduka ya wafanya bashara.
Unaweza pia kutumia mitandao ya sim kama TIGO pia wanajitahidi kuweka kiwango cha muongozo.
Lazima ujue upo mji gani,unaweza kwenda Pale Posta kuna Bureau De change moja nimeisaha jina ila Rate nzuri sana.
Suala la jukua muda gani bei inapanda watakuja wachumi,ila mara nyingi ni kubahatisha.
 
Back
Top Bottom