Soko la DRC huwa tunagawana na Tanzania pasu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Pamoja na kwamba DRC hatupo nao kwenye mpaka mmoja, yaani ili usafiri kutoka Kenya hadi DRC itakubidi upitie Uganda yote uimalize, lakini la kushangaza, Wakenya kwa kujituma, thamani ya bidhaa zetu kwenda DRC kwa mwaka ni $150 millioni, ilhali Tanzania ambao wanachangia mpaka mrefu sana hapo na DRC na ikumbukwe wapo pamoja kwenye muungano wa SADC, thamani ya bidhaa zao kwenda huko ni $153 millioni.

Kwa kifupi, nimemuelewa rais wetu Uhuru kwa harakati alizoanzisha za kuwaleta hao DRC karibu, subiri wajiunge EAC, ina maana hapo hatutakua na vizingiti ambavyo hujitokeza mara nyingi ikiwemo masuala ya visa na mengineyo, ni mwendo wa kutafuta fursa za kibiashara na kuchangamkia hilo soko la watu milioni 84, ukizingatia pia Ethiopia yenye soko la watu milioni 105 walitufungulia milango, mabenki yetu tayari yametutangulia kwenye nchi zote mbili, hivyo ngoma inogile.

Huwa nasema humu mara nyingi, uzembe, uvivu na utepetevu wa majirani zetu ndio mtaji wetu.
--------------------------------------
The Democratic Republic of Congo has applied to join the East African Community in a move that could potentially expand the boundaries of the trading bloc to the Atlantic coast of Africa.
The application comes following months of talks between DR Congo President Felix Tshisekedi and Rwanda President Paul Kagame, who chairs the East African Community.
Sources familiar with the diplomatic talks that preceded the formal application say most EAC member states are enthusiastic about DR Congo’s membership.
The DRC officially communicated its intention to join the EAC in a letter to President Kagame dated June 8. Kinshasa said its desire to join the bloc was informed by its increasing trade ties with the region.
In response, President Kagame directed the EAC Secretariat to table DR Congo’s application for discussion at the next Heads of State Summit in November.
If it meets the admission requirements, members will vote on its admission.

GAME CHANGER
The potential membership of the Central African country is being viewed as a game-changer, given its natural resources wealth and a huge consumer market of 81 million people.
It is the world’s biggest producer of cobalt, a major component in the manufacture of rechargeable batteries for electric vehicles, and Africa’s main copper producer. It also a major producer of gold, diamonds, uranium, coltan, oil and other precious metals, making it one of the most resource-rich countries in the world.
DR Congo is also host to the world’s second-longest river, the Congo, vast swathes of fertile soil, potentially making it one of the biggest agricultural producers in the world.
DR Congo’s membership in the EAC, if fast-tracked and fully integrated through key infrastructure, also portends a timely pillar not only for the region but also for the bigger Africa Continental Free Trade Area.
“DR Congo’s membership offers the potential of opening a vast trading and communication corridor right across the middle of Africa from the Indian Ocean to the Atlantic Ocean,” said Jeremiah Owiti, a Nairobi-based policy analyst.
President Tshisekedi has, since his inauguration in January, shown keen interest in the EAC, and has officially visited five member states — Burundi, Kenya, Rwanda, Uganda and Tanzania. He even attempted to mediate between Rwanda and Uganda.
The Treaty establishing the EAC stipulates that new members be admitted on condition that they respect the principles of democracy, rule of law, accountability, transparency and social justice.
The Treaty also demands that the applicants, besides being geographically near any of the existing members, practise “equal opportunities, gender equality as well as recognise, promote and protect rights in accordance with the provisions of the African Charter on Human and Peoples' Rights.”
MARKET
Patience Mutesi, the Rwanda country director for TradeMark East Africa, welcomed DR Congo’s application, saying a larger EAC market means more opportunities for traders and consumers.
DR Congo offers a market almost half the size of the entire EAC, and will also seek to export to the region.
Data from the Uganda Trade Ministry shows the country exported $398 million’s worth of goods to DR Congo in 2018, and plans to increase that to $2 billion by 2020. However, Uganda only imported goods worth $2.5 million from DR Congo.
In Rwanda, exports to DR Congo were $456.8 million in 2018, against $11.2 million’s worth of imports, according to central bank statistics. Tanzania’s exports to the Central African nation were $153 million in 2017, while imports were $1 million, according to the Bank of Tanzania. Kenya sold goods worth $150 million to DR Congo in 2018 and imported $12 million’s worth of goods, according to the Kenya National Bureau of Statistics.
Despite the huge trade potential, DR Congo remains a volatile nation, fraught with internal strife and persistent outbreaks of deadly diseases such as Ebola, which has killed more than 1,200 people since last year.
DR Congo’s eastern region remains a hotbed of rebel activity and close to one million Congolese have fled the country, while 4.5 million others are internally displaced.
 
Naam, habari ndio hiyo. Benki ya Kenya, KCB ambayo ipo DRC inanuia kununua benki nyingine huko huko Congo. Wapo kwenye mikakati ya kuingia Rwanda pia na kununua benki Kigali. KCB wanafungua pia 'representative ofice' kule Beijing, China. Benki nyingine ya Kenya, Equity Bank nayo inanuia kununua benki zingine mpya Rwanda, Zambia, Mozambique na Tanzania. Yaani ukanda huu ni uwanja wetu sisi wakenya, tunashindana kibiashara sisi wenyewe kwa wenyewe. >>>https://af.reuters.com/article/drcNews/idAFL5N22I0QU
 
Mkuu, huko kugawana pasu ni kwa kuwa Tanzania hawajawa na uwezo mkubwa wa kuhudumia hilo soko kama DRC, baada ya muda ikiwa uwezo wao wa uzalishaji utaongezeka basi mjue hamtaweza kushindana na bidhaa za Tanzania huko DRC maana bidhaa za Tanzania zitapata unafuu kwenye gharama za usafirishaji na kufanya bidhaa za Tanzania kuwa bei nafuu.

Vv
 
Ndio maana nikasema utepetevu wenu ndio mtaji wetu, miaka nenda miaka rudi mnasubiri kuongeza uwezo ilhali hao Bakongoman soko la watu milioni 84 mnachangia mpaka nao na mpo nao kwenye SADC, yaani kwamba kwa Mtanzania kwenda DRC hana usumbufu sana kwenye makaratasi, mpo nao kwenye muungano, lakini bado mnasuasua mkisubiri kuongeza uwezo.

Sisi huwa hatusubiri huo uwezo, tunajiongeza wenyewe, subiri waingie EAC rasmi maana hapo hakutakua tena na usumbufu ambao huwa tunapata. Pamoja na usumbufu wote huu, bado tunakula na nyie pasu.
 
Hamtafanya lolote Tanzania na Kongo biashara yake itakuwa kubwa sana, SGR ikikamilika.

Refer mazungumzo ya Rais Magufuri na Felix pale magogoni
 
Sio utepetevu wetu Anko huwezi Fanya biashara ya maana na nchii ambayo ipo kwenye vita au amani yake ya mashaka that's y biashara zilikua kwa kiwango cha chini..
Tushukuruni wote ka ea kuwa Congo afadhali inaonesha kutakua na ulinzi na utulivu mungu akipenda kwa hii serikali mpya.. Na kama wana ea hebu tusileteane maneno ka watoto Congo ni kubwa sana so nchi zote za ea wote tunafursa sasa ya kufanya biashara na uwekezaji na Congo kila mtu kwa mlango wake kikubwa kama wana ea tufanye biashara na kuwekeza Congo tukiwa na wazo la kuwaboost Ndugu zetu wakongo na sio kwenda kuwafanyia uhuni...
Maana Congo akikaa sawa basi mjue ukanda wote huu tuna faida ya kufa mtu twendeni but kwa lengo la kupata faida wote wote na wacongo nao wafaidike ila sio tukawaibie..
 
Kwenye hali hiyo hiyo ya ukosefu wa amani na utulivu DRC, ikumbukwe Rwanda ambayo ni kiwango cha mkoa wenu mmoja, bidhaa zao kwenda huko kwa mwaka ni dola milioni 450 wakati nyie mnajipa vijisababu sababu vya kila aina na kuchezea kwenye dola milioni 153.
Haidhuru, umenena vizuri umuhimu wa kuhakikisha tunafaidika sote na hao Bakongoman.
 
Hamtafanya lolote Tanzania na Kongo biashara yake itakuwa kubwa sana, SGR ikikamilika.

Refer mazungumzo ya Rais Magufuri na Felix pale magogoni

Hata zikamilishwe SGR hamsini huku zingine zikija hadi kwako mlangoni, bila ya wewe kujituma, kujiongeza, kupiga hatua...hapatakua na lolote. Ni jukumu la mwananchi kupambana kwenye hali ulionayo huku ukisubiri serikali iboreshe na kuwezesha miundo mbinu.
 
Hivi pasu kwa pasu maana yake nini? Hapa naona 153$ vs 150$ licha ya kwamba serikali yetu haina mpango na Kigoma

Hehehe hizo $3 ni chenji ya mboga.....
 
Na hiyo ndio maana angu kila mtu aangalie anachoweza kwenda kufaidika kwa wacongo ili tuaccerate na kupanua soko, ushirikiano na umoja...
Kifupi kama wana ea tuangalie hili jambo in positive side maana hawa jamaa wakiingia ea tunakua wengi na hii itawaboost na nchi zingne ziombe kujiunga maana hata United of Africa utajengwa kwa kuanza kuunganisha nchi nyingine kwenye hizi umoja zilizopo miaka hata 30 huko tunaweza kujikuta tunaongea kuwa Africa moja ila lazima block ka hizi za ea sadc na zingne zijiwekee mazingira ya kuintaract kwa urahisi mwisho tutajikutaa wote tumekua wamoja.. Twendeni taratibu ka hivi tukifata njia sahihi mwisho wazungu wenyewe watashaangaa
Kwenye hali hiyo hiyo ya ukosefu wa amani na utulivu DRC, ikumbukwe Rwanda ambayo ni kiwango cha mkoa wenu mmoja, bidhaa zao kwenda huko kwa mwaka ni dola milioni 450 wakati nyie mnajipa vijisababu sababu vya kila aina na kuchezea kwenye dola milioni 153.
Haidhuru, umenena vizuri umuhimu wa kuhakikisha tunafaidika sote na hao Bakongoman.
 
Hata zikamilishwe SGR hamsini huku zingine zikija hadi kwako mlangoni, bila ya wewe kujituma, kujiongeza, kupiga hatua...hapatakua na lolote. Ni jukumu la mwananchi kupambana kwenye hali ulionayo huku ukisubiri serikali iboreshe na kuwezesha miundo mbinu.
Kwa sasa Rais wa DRC anakwenda kuboresha bandari ya upande wa Kongo, sisi tunayo ya Kigoma ambayo meli zimeanza kuongezeka biashara itakuwa kubwa tu!

Miundo mbinu ya Mkoa wa Kigoma sio rafiki ndio maana biashara inadorora
 
Watanzania kitu hawajatwambia ni kuwa they don't share a dry land border with DRC bali ni ziwa ambapo inabidi mizigo kushukishwa jutoka kwa malori na kupakiwa Tena kwa meli alafu Tena kushukishwa upande ule mwingine na Tena kupakiwa Tena kwa malori ili kusafirisha sehemu mbali mbali DRC( yani ni double work) ukizingatia poor infrastructure ya happy ziwa Tanganyika.

Sasa linganisha mzigo uliopakiwa pale Mombasa kuelekea DRC. Mzigo utashuka pindi ufikapo final destination hamna cha kushukisha shukisha na kupakiwa pakia Bali ni express therefore fast and cheap.

Assuming SGR Tz itafika Lake Tanganyika, tayari costs zitapanda kwa kuwa mizigo hiyo itabidi kushukishwa ili kupakiwa kwenye meli( Time =Money) afu Tena mizigo hiyo ikifika ng'ambo ile nyingine another cost ya kushukisha mizigo.

Mizigo ya DRC from Mombasa ikishapakiwa ni mwendo kasi bila delays Hadi DRC...mwenye macho haambiwi tazama na mwanabiashara mjanja atatumia Mombasa.
 
Wishful thinkers.
Uagawana na Tanzania kwa misingi ipi?? Hizo ni story za kujilisha upepo tu. Hivi hata mnajua ni kiasi gani cha mizigo na wafanya biashara wangapi wanatumia mpaka wa kupitia Zambia (Lubumbashi)?
 
Hiyo route ya Msa to DRC direct mnapita wapi na wapi ambapo SGR ya Tz haitaweza kupita? Sio lazima mizigo ishuke lake Tanganyika, remember kuna kipande cha Isaka Kigali...

Hivi pale kisumu yatch club ijumaa wale wazee walienda kugawana mgao wa Bajeti hewa wakiyoizidisha au? Maana jamaa kwa ku skip formality na protocols ili tu akutane na spesho mjumbe wa AU sio Mchezo. What's in the cooking?
 
Wishful thinkers.
Uagawana na Tanzania kwa misingi ipi?? Hizo ni story za kujilisha upepo tu. Hivi hata mnajua ni kiasi gani cha mizigo na wafanya biashara wangapi wanatumia mpaka wa kupitia Zambia (Lubumbashi)?
Hiyo route ya ndola to kasumbelesa ni ndefu Sana chief,
 
Hivi kwenye mwenye shilingi 5 na mwenye shilingi 5.5 hawa wana shilingi sawa?

Kwa mahesabu ya kichekechea, hawana shilingi sawa, lakini kwa wabobezi wa hisabati na takwimu za kiuchumi huwa wana uwezo wa kuona na kudadavua nambari kwa kutumia akili za kujiongeza. Sasa inategemea na mwisho wa uwezo wako kifikra...hehehehe
 
Watanzania kitu hawajatwambia ni kuwa they don't share a dry land border with DRC bali ni ziwa ambapo inabidi mizigo kushukishwa jutoka kwa malori na kupakiwa Tena kwa meli alafu Tena kushukishwa upande ule mwingine na Tena kupakiwa Tena kwa malori ili kusafirisha sehemu mbali mbali DRC( yani ni double work) ukizingatia poor infrastructure ya happy ziwa Tanganyika.

Sasa linganisha mzigo uliopakiwa pale Mombasa kuelekea DRC. Mzigo utashuka pindi ufikapo final destination hamna cha kushukisha shukisha na kupakiwa pakia Bali ni express therefore fast and cheap.

Assuming SGR Tz itafika Lake Tanganyika, tayari costs zitapanda kwa kuwa mizigo hiyo itabidi kushukishwa ili kupakiwa kwenye meli( Time =Money) afu Tena mizigo hiyo ikifika ng'ambo ile nyingine another cost ya kushukisha mizigo.

Mizigo ya DRC from Mombasa ikishapakiwa ni mwendo kasi bila delays Hadi DRC...mwenye macho haambiwi tazama na mwanabiashara mjanja atatumia Mombasa.
Ni KM ngapi from Mombasa to DRC compare na KM za kutoka DSM to DRC
 
Back
Top Bottom