KingOligarchy
Senior Member
- Sep 28, 2013
- 139
- 375
DSE watangaza certification yao itakayoanza mwezi ujao. Baada ya kuangalia content nimeona walimu watakaofundisha ni kutoka watu wenye experience kutoka vitengo vya Treasury - Bank, UTT Amis watu wa portfolio management , kuna wengine pia ni CFA Holders!
Kudos DSE this is good work, Tukutane mjengoni! nitaattend chap chap.
Kudos DSE this is good work, Tukutane mjengoni! nitaattend chap chap.