Soko la Hisa vs Mwaka wa Uchanguzi

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,610
Heshima kwenu wadau,

Ningependa kufahamu soko la hisa inapofika mwaka wa uchaguzi huwa linakuwa lina hali gani? huwa lina panda au huwa lina shuka. Kama huwa lina panda ni kwanini na kama huwa linashuka ni kwanini.

Stock market and election year.

By: SUPU YA MAWE
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…