Sabayi JF-Expert Member Joined Dec 4, 2010 Posts 2,310 Reaction score 999 Jul 4, 2011 #1 Habari Wakuu,nategemea kufanya kilimo cha karanga ila kabla sijaanza ningependa kupata uhakika wa soko kwanza,kama kuna mtu yeyote anayelima karanga na anajua ABC zake na soko naomba data tafadhali
Habari Wakuu,nategemea kufanya kilimo cha karanga ila kabla sijaanza ningependa kupata uhakika wa soko kwanza,kama kuna mtu yeyote anayelima karanga na anajua ABC zake na soko naomba data tafadhali