Soko la Kariakoo: Vipaumbele anavyoviomba Bwana Mushi hadi leo hamna au mnatania?

Soko la Kariakoo: Vipaumbele anavyoviomba Bwana Mushi hadi leo hamna au mnatania?

milele amina

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
6,045
Reaction score
8,080
Bwana Mushi;

1. Una elimu gani
2. Umri wako
3. Uzoefu wako kwenye biashara
4. Unafanya biashara Gani?
5. Utafanyaje ukichaguliwa, kutokuingiza siasa kwenye biashara?
6. Ni nini msimamo wako, kuhusu migomo ya wafanya biashara?
7. Saa100 ameruhusu raia wa kichina kufanya biashara za umachinga kariakoo, je utasaidiaje kuondoa ujinga huo?
8. Biashara sasa zinatakiwa kufanyika online! Ni nini uelekeo wako kuweza kuwasaidia vijana wasio na mitaji ya kuanzisha maduka kariakoo,kuweza kufanya biashara za online.
9. Umesema issue ya kuanzisha mabalozi wa nyumba kumi kumi! Huo ni ule mfumo wa CCM?

IMG-20241114-WA0008.jpg
 
Back
Top Bottom