Duh π nilitaka niache kuajiriwa umenitishaHamna kitu kigumu kama biashara
Set upWakuu,
Soko la Kawe linatekea kwa moto muda huu, chanzo cha moto huo bado hakijajulikana ambapo moto huo ulizuka majira ya saa sita usiku. Au ndio project kama ilivyokuwa kwenye moto wa Kariakoo, ambao kama sijachanganya mafaili ripoti yakd haijawahi kutoka mpaka wa leo!
Kwa hali ilivyo sidhani kama kuna waliookoa chochote kwa hali hii, kama sauti inavyosikika hapo, Zimamoto wameishiwa maji ikiwa ni saa saba usiku, wameondoka na kwenda kuyatafuta kwengine waje kuzima. Ila wanajeshi si wapo karibu wanaweza kwenda kusaidia kuzima fasta? Au ndio wote wako kwa mama?
Wa Malawi, aliyekaribu atupatie updates.
View attachment 3472237
Pia soma Soko Singida Linawaka Moto Muda Huu
Kinachoumiza wengi wao ni masikini wanatafuta tonge dogo daah asee msingi wako wamkopo ndo unateketea alafu familia yako inakutegemea alooo sikia kwa mtu tu hizi ishuWakuu,
Soko la Kawe linatekea kwa moto muda huu, chanzo cha moto huo bado hakijajulikana ambapo moto huo ulizuka majira ya saa sita usiku. Au ndio project kama ilivyokuwa kwenye moto wa Kariakoo, ambao kama sijachanganya mafaili ripoti yakd haijawahi kutoka mpaka wa leo!
Kwa hali ilivyo sidhani kama kuna waliookoa chochote kwa hali hii, kama sauti inavyosikika hapo, Zimamoto wameishiwa maji ikiwa ni saa saba usiku, wameondoka na kwenda kuyatafuta kwengine waje kuzima. Ila wanajeshi si wapo karibu wanaweza kwenda kusaidia kuzima fasta? Au ndio wote wako kwa mama?
Wa Malawi, aliyekaribu atupatie updates.
View attachment 3472237
Pia soma Soko Singida Linawaka Moto Muda Huu
Mkuu achana na kuajiriwa jiajiri kuna dawa unaweka sehemu yako ya biashara hata kama moto unatokea hautaunguza sehemu yako ya biashara kamwe ukiwa nayo hiyo yangu na ukiweka sehemu yako ya biashara.Ykiwa Teyari kufanya biashara nitafute kwa wakati wako iliniweze kukufanyia kinga dhidi ya moto na wezi pia.Duh π nilitaka niache kuajiriwa umenitisha
Biashara ni ngumu sana aise. Tujitahidi kukata bima za majanga
Hema sio kanisa yule hana kanisa kanisa sio gulioKwanini lisingeunguakanisala mwamposa?!