Wadau natafuta taarifa za soko la kimataifa kwa mbegu za Alizeti (Sunflower seeds) ama kitaalamu Helianthus annuus naomba mwenye kujua haya atushirikishe.
Lakini majimoto kamaliza kabisa kila kitu. Hizi ndio link ambazo sisi wadau wa kilimo zinatakiwa kuwa kiunoni kama mkanda wa suruali. Ukipata muda nenda Singida ule ukanda wa viwanda vya Sido. Mimi nilikwenda mwaka juzi. Na mwaka huu nitatembelea kiwanda cha kusindika asali Tabora.