Soko la Komamanga lipo?

Joined
Mar 18, 2015
Posts
51
Reaction score
0
Mimi ni mkulima wa matunda mbalimbali. Nataka kulima Komamanga, nauliza kilimo hicho kitanitoa? Soko lipo? na kama una uhakika wa soko hilo nijulishe tafadhali.
 
Mimi nayaonaga uhindini Kisutu yanauzwa moja afu 5-6! sasa sijui hiyo ni bei nzuriau ! Upo wapi mkuu ...haya matunda yanastawi katiaka mazingira gani
Mimi ni mkulima wa matunda mbalimbali. Nataka kulima Komamanga, nauliza kilimo hicho kitanitoa? Soko lipo? na kama una uhakika wa soko hilo nijulishe tafadhali.
 
Mimi niko Tabora Kipalapala Matenkini hapa nilipo yanaweza kustawi sana mwenye kuyahitaji nipe mawasiliano yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…