1ndazMaterial
Senior Member
- Oct 4, 2018
- 161
- 175
Hongera kwa uthubutu,Hlw Habari wakuu,
Naitwa khalfan ni mkaz wa Mkoa wa simiyu mjini bariadi. Nawaza kuanza biashara ya kukusanya kuku vijijini na kuwatafutia soko mwanza kwenye mahotel makubwa.
Shida connection ndio sijui naipataje Ila nishaandaa mtaji wangu wa shl laki 5, nawaza nikipata tu connection niende bush kulangua kuku hao then niwapeleke moja kwa mmoja sehemu ambapo tawauziia basi naombeni msaada wenu wa connection ni hayo tu.
SHUKRN
wazo zuri sanaNi wazo zuri sana. Ila kwenye hotel nyingi wanapenda kuku wa kisasa au wale chotara, yaani wanataka kuku kwa ukubwa (kilo nyingi). Sasa kuku wa kienyeji wengi ni wadogo kiumbo na kwa kuwa bei ya kuwanunua ni kali, italazimu nao (hotel) wawauze bei kubwa, hivyo wateja inakuwa changamoto. Kwa hiyo unaweza boresha wazo lako kwa kununua kuku wa kisasa au wale saso na ukawa unawauzia watu wa hotel, maana hao saso wana kama ukienyeji hivi, ni rahisi wateja kudanganywa kuwa ni wa kienyeji. Unaenda kwa wafugaji na kukusanya kuku na kisha kupeleka hotel, ila kwanza nenda hotel ukapate oda. Hata kama kuku huna waambie unao, kwa kuwaaminisha, nenda hata na kuku 3 wakubwa (kilo 1.8 mpaka 2) waliochinjwa, wawe ndio sampo. Unawaambia una constant supply ila hela wakulipe jioni au baada ya siku 2 ili hiyo ndio uzungushie.
Mahoteli Makubwa ndio yapi? Sema kwenye Baaa ila sio Hoteli zenye hadhi ya nyota 4 au 5 sijui kama zipo huko ila Hoteli za kitalii wanatumia kuku wa kisasa wa nyama na sio hao wa kienyeji, kuku wa kienyeji tafuta kwenye BaaaHlw Habari wakuu,
Naitwa khalfan ni mkaz wa Mkoa wa simiyu mjini bariadi. Nawaza kuanza biashara ya kukusanya kuku vijijini na kuwatafutia soko mwanza kwenye mahotel makubwa.
Shida connection ndio sijui naipataje Ila nishaandaa mtaji wangu wa shl laki 5, nawaza nikipata tu connection niende bush kulangua kuku hao then niwapeleke moja kwa mmoja sehemu ambapo tawauziia basi naombeni msaada wenu wa connection ni hayo tu.
SHUKRN
Nicheki 0752093569Hlw Habari wakuu,

Tatizo la biashara hizo awalipi keshi inatakiwa unakuwa na mitaji 2 moja shamba mwingine sokoniHlw Habari wakuu,