Soko la kuku na ngururuwe Morogoro

Soko la kuku na ngururuwe Morogoro

1800

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
2,215
Reaction score
604
Wadau naomba kujua uhakika wa soko la kuku wa kienyeji na nguruwe mkoani Morogoro,nina mpango wa kuanza ufugaji huo katika tarafa ya Dumila,ila sijawa na uhakika sana wa soko lake mkoani humo,yoyote mwenye uhakika naomba anihuze tafadhali,asanteni
 
Huna haja ya kuuza Morogoro tu, kuku na nguruwe ni "hot cake" Dar es Salaam hasa kuku wa kienyeji.
 
Haya mkuu,nashukuru kwa ushauri
 
Back
Top Bottom