1800 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 2,215 Reaction score 604 Oct 26, 2011 #1 Wadau naomba kujua uhakika wa soko la kuku wa kienyeji na nguruwe mkoani Morogoro,nina mpango wa kuanza ufugaji huo katika tarafa ya Dumila,ila sijawa na uhakika sana wa soko lake mkoani humo,yoyote mwenye uhakika naomba anihuze tafadhali,asanteni
Wadau naomba kujua uhakika wa soko la kuku wa kienyeji na nguruwe mkoani Morogoro,nina mpango wa kuanza ufugaji huo katika tarafa ya Dumila,ila sijawa na uhakika sana wa soko lake mkoani humo,yoyote mwenye uhakika naomba anihuze tafadhali,asanteni
Limbani JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 1,438 Reaction score 442 Oct 26, 2011 #2 Huna haja ya kuuza Morogoro tu, kuku na nguruwe ni "hot cake" Dar es Salaam hasa kuku wa kienyeji.
CAMARADERIE JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 4,419 Reaction score 1,923 Oct 26, 2011 #3 Fuga huko soko liko Darisalamu
1800 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 2,215 Reaction score 604 Oct 26, 2011 Thread starter #4 Asante mkuu.
1800 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 2,215 Reaction score 604 Oct 26, 2011 Thread starter #5 Haya mkuu,nashukuru kwa ushauri