FezzyJoe Senior Member Joined Jun 2, 2017 Posts 116 Reaction score 48 May 16, 2019 #1 Wakaazi wa Igunga na viunga vyake napenda kuwatangazia soko LA kuku wa kienyeji na chotara linapatikana. Hii ni kwa kuku wa miezi 2 - 3 bei si chini ya 5000 na maongezi yapo. Njoo PM nikupe namba au tumia fefarobert@gmail.com
Wakaazi wa Igunga na viunga vyake napenda kuwatangazia soko LA kuku wa kienyeji na chotara linapatikana. Hii ni kwa kuku wa miezi 2 - 3 bei si chini ya 5000 na maongezi yapo. Njoo PM nikupe namba au tumia fefarobert@gmail.com
Escaper JF-Expert Member Joined Nov 11, 2018 Posts 1,780 Reaction score 3,241 May 16, 2019 #2 Sawa wanakuja wakazi wa shilole city
FezzyJoe Senior Member Joined Jun 2, 2017 Posts 116 Reaction score 48 May 16, 2019 Thread starter #3 Nawasubiri waje
CCM Music JF-Expert Member Joined Dec 5, 2018 Posts 1,036 Reaction score 1,788 May 19, 2019 #4 Naomba kuuliza: Kuku wa bei ya sh 7,000 hadi 10,000 anakuwa na umri gani kwa wastani