new age
Member
- Jan 17, 2015
- 47
- 9
Habari zenu wakuu,
Natafuta soko la Kuku wa kienyeji kwa mikoa ya Dar, Tanga, Moro, Dom na Pwani. Kuku wapo kwa idadi yoyote itakayohitajika kwa bei nafuu ikiwa ni pamoja na usafiri hadi ulipo.
Bei; Matetea kuanzia Tshs. 13,000/=, Majogoo kuanzia Sh. 16,000/=. Pia kutakuwa na punguzo la Sh. 1,500/= kwa atakaechukua kuanzia Kuku 10 kila siku.
Niko Kibaha 0719 047 630 / 0767 047 630