Habar zenu wakuu,natafuta soko la kuku wa kienyeji kw mikoa ya Dar,Tanga,Moro,Dom,na Pwani.Kuku wapo kwa idadi yoyote itakayo hitajika kwa bei nafuu ikiwa ni pamoja na usafiri hadi ulipo.Bei;matetea kuanzia sh 13000,majogoo kuanzia sh16000.Pia,kutakuwa na punguzo la sh 1500 kwa atakaechukua kuanzia kuku10 kila siku,niko Kibaha.0719047630,0767047630.
Mkuu nahitaji kuku wa kienyeji 14,000 naweza kuwapata kwa pamoja?