A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,135
- 1,574
Shukrani mkuuZunguka, nenda Sinza bites (ya Moshi) , Vegas na vibanda vya Mocu, huko kote wanauza mno kuku
Mkuu m nakushauri punguza bei iyo bei niHabarini za muda huu Wanajamvi poleni na mihangaiko ya wiki nzima nimekuja hapa kutafuta soko la kuku wa nyama (broiler) kwa Moshi na hata njee ya Moshi kwa sasa kuku Wana week 4 na siku 5 hivyo nipotayari kuanza kuwavuna kwa ajili ya kitoweo naomba kwa yeyote yule mwenye uhitaji na bidhaa hiyo awasiliane na mimi, napatikana Moshi, bei ya kuku mmoja ni shilingi elfu nane (8000),
Karibuni sana na ninatanguliza shukrani kwenu
Mtanisamehe kwa uandishi na mwandiko wangu! View attachment 2538194
Stater inaanzia 86500 mpaka 90000Mkuu m nakushauri punguza bei iyo bei ni
kubwa sana iyo
Ila samahani nikuulize chakula moshi mnanunuaje?
Yni kuanzia starter mpaka finisher
Kikawaida wanasema kuna kampuni flani ile chakula chake ndo kizuri ambapo ndo kinapendwa sanaaStater inaanzia 86500 mpaka 90000
Grower, 85000 mpaka 89000
Finisher 84000 mpaka 79000
Inategemea na kampuni
Sawa mkuu nashukuru kwa ushauriKikawaida wanasema kuna kampuni flani ile chakula chake ndo kizuri ambapo ndo kinapendwa sanaa
Ila kma ni 90000 chakula basi uza kwa bei iyo iyo tu ila kma chakula ni chini ya hpo jitafakari tena na bei ya kuuza
Jaribu pia kuwatembelea wenye vibanda vya chips.kuna mmoja yupo mbuyun nyuma ya crdb anaitwa masudi.Anauza sana miskaki ya kukuHabarini za muda huu Wanajamvi poleni na mihangaiko ya wiki nzima nimekuja hapa kutafuta soko la kuku wa nyama (broiler) kwa Moshi na hata njee ya Moshi kwa sasa kuku Wana week 4 na siku 5 hivyo nipotayari kuanza kuwavuna kwa ajili ya kitoweo naomba kwa yeyote yule mwenye uhitaji na bidhaa hiyo awasiliane na mimi, napatikana Moshi, bei ya kuku mmoja ni shilingi elfu nane (8000),
Karibuni sana na ninatanguliza shukrani kwenu
Mtanisamehe kwa uandishi na mwandiko wangu! View attachment 2538194
Shukrani mkuuJaribu pia kuwatembelea wenye vibanda vya chips.kuna mmoja yupo mbuyun nyuma ya crdb anaitwa masudi.Anauza sana miskaki ya kuku