Soko la kuku

Soko la kuku

jogijo

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2019
Posts
260
Reaction score
495
Ndugu zangu habari zenu, niko singida lakini natafuta soko la kuku mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, ikiwa uko na mtu ana uhitaji au wewe mwenyewe please DM me. Nitakuletea hadi mlangoni kwa idadi uitakayo na bei nzuri kabisa.

shari'ng is caring...
 
Boss kuku unauza kwanzia bei gani? Mimi Niko arusha nilikuwa taka kufaham kuhusu bei zako
 
Back
Top Bottom