Ndugu zangu habari zenu, niko singida lakini natafuta soko la kuku mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, ikiwa uko na mtu ana uhitaji au wewe mwenyewe please DM me. Nitakuletea hadi mlangoni kwa idadi uitakayo na bei nzuri kabisa.